Tafsir al-Jalalayn · Az-Zumar · Aya 21

Tafsir al-Jalalayn

Sura
Az-Zumar
Aya
21 / 75
Lugha ya kitabu
Kiingereza
أَلَمۡ تَرَ أَنَّ ٱللَّهَ أَنزَلَ مِنَ ٱلسَّمَآءِ مَآءٗ فَسَلَكَهُۥ يَنَٰبِيعَ فِي ٱلۡأَرۡضِ ثُمَّ يُخۡرِجُ بِهِۦ زَرۡعٗا مُّخۡتَلِفًا أَلۡوَٰنُهُۥ ثُمَّ يَهِيجُ فَتَرَىٰهُ مُصۡفَرّٗا ثُمَّ يَجۡعَلُهُۥ حُطَٰمًاۚ إِنَّ فِي ذَٰلِكَ لَذِكۡرَىٰ لِأُوْلِي ٱلۡأَلۡبَٰبِ
Je! Huoni kwamba Mwenyezi Mungu ameteremsha maji kutoka mbinguni. Kisha akayapitisha kwenye chemchem katika ardhi, kisha kwa maji hayo akatoa mimea yenye rangi mbali mbali? Kisha hunyauka ukaiona imekuwa kimanjano, na kisha huifanya mapepe. Bila ya shaka katika hayo upo ukumbusho kwa wenye akili.
'Alam tara 'anna allaaha 'anzala mina assamaa'i maa'an fasalakahu yanaabii’a fii al'ardi thumma yukhriju bihi zar’an mukhtalifan 'alwaanuhu thumma yahiiju fataraahu musfarran thumma yaj’aluhu hutaaman 'inna fii dhaalika ladhikraa li'ulii al'albaabi
Have you not seen realised that God sends down water from the heaven then conducts it as springs making it enter points of springs in the ground? Then with it He brings forth crops of diverse hues. Then they wither they become dried-out and you see them for example after having been green turning yellow. Then He turns them into chaff. Truly in that there is a reminder for people of pith possessors of intellect by which they may be reminded for it is an indication of God’s Oneness and His power.
Rudi juu