Tafsir al-Jalalayn · Az-Zumar · Aya 22

Tafsir al-Jalalayn

Sura
Az-Zumar
Aya
22 / 75
Lugha ya kitabu
Kiingereza
أَفَمَن شَرَحَ ٱللَّهُ صَدۡرَهُۥ لِلۡإِسۡلَٰمِ فَهُوَ عَلَىٰ نُورٖ مِّن رَّبِّهِۦۚ فَوَيۡلٞ لِّلۡقَٰسِيَةِ قُلُوبُهُم مِّن ذِكۡرِ ٱللَّهِۚ أُوْلَٰٓئِكَ فِي ضَلَٰلٖ مُّبِينٍ
Je! Yule ambaye Mwenyezi Mungu amemfungulia kifua chake kwa Uislamu, na akawa yuko kwenye nuru itokayo kwa Mola wake Mlezi (ni sawa na mwenye moyo mgumu?) Basi ole wao wenye nyoyo ngumu zisio mkumbuka Mwenyezi Mungu! Hao wamo katika upotofu wa dhaahiri.
'Afaman sharaha allaahu sadrahu lil'islaami fahuwa ’alaa nuurin min rabbihi fawaylun lilkaasiyati kuluubuhum min dhikri allaahi 'ulaa'ika fii dalaalin mubiinin
Is he whose breast God has opened to Islam and becomes guided so that he follows a light from his Lord …? like he whose heart He has sealed with disbelief? — this understanding of the ellipsis is indicated by what follows. So woe — an expression indicating ‘chastisement’ — to those whose hearts have been hardened against the remembrance of God that is hardened against the acceptance of the Qur’ān. Such are in manifest error.
Rudi juu